KUKU CHAPCHAP COMPANY LTD:
KUKU CHAPCHAP COMPANY LTD ni kampuni inayojishughulisha na masuala mazima ya ufugaji wa kuku. Kampuni hii ilianzishwa kwa lengo maalum la kusaidia wajasiriamali (wafugaji wadogo wadogo, size ya kati na wakubwa) katika kutatua changamoto zinazowakabili katika ufugaji.
Pia Kuku Chapchap tunajihusisha na uuzaji wa vifaa mbali mbali vya ufugaji Mfano Incubator Machine (Mashine za Kututolesha Mayai), Drinkers & Feeders, Thermometer, Gas Heater, Cages (Mabanda ya kisasa kwaajili ya kuku wa mayai), na vifaa vyote vinavyohusiana na ufugaji wa kuku vinapatikana kwetu.
Bila kusahau tuna huduma ningine nyingi zikiwemo:
Usimamizi wa Mashamba ya kuku Makubwa na Madogo.
Ujenzi wa Mabanda ya kuku aina zote.
Ukaguzi wa Mashamba (Farm Visit)
Ushauri juu ya Ufugaji kuku (Farm Consultant)
Uuzaji wa Vifaa vya Kuku
Uuzaji wa Vifaranga vya kuku aina zote (Broiler, Kuroiler na Layers)
Mafunzo ya ufugaji wa kuku (Poultry farming training)
Kwa nini uichague Kampuni yetu (Kuku Chapchap);
1. Ina uzoefu mkubwa katika sekta hii ya ufugaji kuku
2. Usalama wa pesa zako
3. Tunakuhakikishia kuweza kupata huduma na bidhaa bora zenye viwango vya hali ya juu
4. Utapata uhakika wa kupata vifaranga wenye Chanjo za awali
5. Uhakika wa kupata Elimu yenye kuweza kukusaidia katika ufgaji wako kibiashara